Kusambaza au kutafuta picha za utupu za mtu bila ridhaa yake ni kosa kisheria nchini Tanzania (Cybercrimes Act).